Wachezaji DRC waula, kila mmoja apewa Prado
Rais Joseph Kabila amemtunuku kila mchezaji gari la kifahari aina ya Toyota Prado la thamani ya $60,000 zaidi ya milioni 120 za kitanzania.
Wachezaji hao wametunukiwa zawadi hizo na Rais wao katika hafla iliyoandaliwa katika Ikulu ya nchi hiyo.
"Asanteni sana kwa ushindi huu. Mmewaunganisha Wakongomani wote," alisema Rais Kabila.
DRC imebeba ubingwa wa michuano hiyo baada ya kuifunga Mali mabao 3 -0 katika mchezo wa fainali uliopigwa Jumapili iliyopita..

Chanzo BBC